Kulikoni mtandao wa TikTok kutawaliwa na maudhui ya Ushoga!

Ni algorithm tu
Kunakipindi ilikua inaniletea keeps za watu kuzikwa kila after 2 Posts, nikaamua kuifuta.

Sipendi negative Energy mm.
Naona tu wameshakuwa wengi kwasababu mimi kule nafuata magari sijawahi kuhangaika na mambo mengine kwamfano Clemence Mwandamo anakuja kila siku wakati sijawahi kumfwatilia inamana kwamba wanachamganya na Trending sio lazima uwe unafuatilia
 
Ni wapi ambako watu hawafi tuende na sisi.
 
Hakuna sehemu nyingine online ambayo utapata hiyo elimu ya Magari zaidi ya huko sijui Tik Tok?

Hebu usitufanye watoto wenzako hapa,unaelewa kabisa unachokifuata huko,

Mbona hiyo elimu ya Magari hukuileta hapa? Badala yake umeleta issue ya mashoga tu?
 
Mashoga wapakieni mkongo muwapelekee moto mpaka waogope huu mchezo

Pia ianzishwe kampeni ya kuwapakia pilipil naamin wataacha
 
Algorithm inekupeleka huko Kwa hao mashoga

Ni kwasababu unapenda kusachi habari zao.

Bila shaka utakuwa mdau

Black sheep
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…