Kulikoni mwezi wa nne kila mwaka ni wasanii? Angalia matukio yao tukianza na Kanumba.

Kulikoni mwezi wa nne kila mwaka ni wasanii? Angalia matukio yao tukianza na Kanumba.

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Waba jf.

Huu mwezi umeniacha njia panda baada ya kulinganisha matukio yatokeayo ndani ya mwezi wa nne.

Mwezi wa nne ulimchukua mwigizaji Maharufu Kanumba. Pia ndio mwezi huo aliozaliwa Elizabert Michael mpenzi wa marehemu. Mwezi wa nne umemchukua Dalila wa Jumba la Dhahabu na Msanii mwingine wa Hipop aliyeimba Swahiba

Hatujakaa sawa mwezi wa nne wasanii maharufu kama Wema ; Monalisa wamepata tuzo. Pia mwezi huu wa nne Msanii wema Sepenga amapatikana na kesi ya kujibu akiwa na wafanyakazi wake

Tukiwa tunaendelea Msanii H. PolePole akaanza majibizano na Gwiji la Data Zitto kuhusu zilipo 1.5Trion, hatujageuka Msanii diamond na Mabeto wakaonyesha ya chumbani huku Makonda akiwa bize na Msanii E. Lowaasaa kumwita achukue mwanae. Yaani kugeuka tu huyoo Nandy akipapaswa yatokayo majitu ya njano njano. Ni mwezi huu ambao Msanii wa Lugha Mange kimambi akikazana kumtaka Rais wetu kipenzi aondoke tarehe 26/4.

Kituko sasa kama akijawa cha mwisho Msanii Wenger akatangaza kuachia ngazi huyu Mugabe wa ulaya. Haya sasa 3 April Msanii Masogange alifungwa jela miaka mitatu lakini ikawa manusura akalipa 1.5 m na kuokoka kifungo, akiwa bado ajasahau maumivu ya kutoa huo mkwanja tarehe 20 wa nne roho ikaacha mwili. Huu mwezi ni wa wasanini wa aina zote una maudhi na raha.
 
Hakuna la ajabu hata mwezi uliopita kulikuwa na matukio mengi tu ukiamua kuyaandika utayapata
 
Kuuaminisha umma kwa namna hii kutamgharimu msanii mwingine mwakani.
 
Waba jf.

Huu mwezi umeniacha njia panda baada ya kulinganisha matukio yatokeayo ndani ya mwezi wa nne.

Mwezi wa nne ulimchukua mwigizaji Maharufu Kanumba. Pia ndio mwizi huo aliozaliwa Elizabert Michael mmpenzi wa marehemu.

Hatujakaa sawa mwezi wa nne wasanii maharufu kama Wema ; Monalisa wamepata tuzo.

Tukiwa tunaendelea Msanii H. PolePole akaanza majibizano na Gwiji la Data Zitto kuhusu zilipo 1.5Trion, hatujageuka Msanii diamond na Mabeto wakaonyesha ya chumbani huku Makonda akiwa bize na Msanii E. Lowaasaa kumwita achukue mwanae. Yaani kugeuka tu huyoo Nandy akipapaswa yatokayo majitu ya njano njano. Ni mwezi huu ambao Msanii wa Lugha Mange kimambi akikazana kumtaka Rais wetu kipenzi aondoke tarehe 26/4.

Kituko sasa kama akijawa cha mwisho Msanii Wenga akatangaza kuachia ngazi huyu Mugabe wa ulaya. Haya sasa 3 April Msanii Masogange alifungwa jela miaka mitatu lakini ikawa manusura akalipa 1.5 m na kuokoka kifungo, akiwa bado ajasahau maumivu ya kutoa huo mkwanja tarehe 20 wa nne roho ikaacha mwili. Huu mwezi ni wa wasanini wa aina zote una maudhi na raha.
"Maharufu"
Daaah!!! Hivi huwa mnajisikiaje mkiandika namna hiyo?
 
Karume alipigwa Risasi April 7

Sokoine kapatishwa ajali April 12

Zanzibar Empire ilitekwa rasmi April 26
 
Utakuwa umekunywa uji wa mgonjwa wewe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom