Tulia wenda na kustaafu kwenu ,ndo mmelifikisha Taifa hili lilipo , vuneni mlicho panda ,pumbavuMimi ni mmojawapo wa Wastaafu wanaopata pensheni kutoka Hazina. Mpaka tarehe ya leo pensheni yangu haijaingizwa kwenye akaunti yangu ya Benki. Kwa utaratibu pensheni inatakiwa iwe imeingia kwenye akaunti za Wastaafu siyo zaidi ya tarehe 1 ya mwezi unaofuata.
Tunaomba mtujali sisi Wastaafu na tuna hali ngumu huku mitaani.
Bila shaka wewe ulikuwa unaisapoti ccm pindi ulipokuwa kazini,pole kwa changamoto unayokutana nayo, hii ndio maana tunadai katiba mpyaMimi ni mmojawapo wa Wastaafu wanaopata pensheni kutoka Hazina. Mpaka tarehe ya leo pensheni yangu haijaingizwa kwenye akaunti yangu ya Benki. Kwa utaratibu pensheni inatakiwa iwe imeingia kwenye akaunti za Wastaafu siyo zaidi ya tarehe 1 ya mwezi unaofuata.
Tunaomba mtujali sisi Wastaafu na tuna hali ngumu huku mitaani.
Mkuu hivi utaratibu wa kutoa pesa za mstaafu kutoka hazina upoje? Anapata kwa mkupuo au anapewa kidogokidogo?Mimi ni mmojawapo wa Wastaafu wanaopata pensheni kutoka Hazina. Mpaka tarehe ya leo pensheni yangu haijaingizwa kwenye akaunti yangu ya Benki. Kwa utaratibu pensheni inatakiwa iwe imeingia kwenye akaunti za Wastaafu siyo zaidi ya tarehe 1 ya mwezi unaofuata.
Tunaomba mtujali sisi Wastaafu na tuna hali ngumu huku mitaani.
Mkuu hivi utaratibu wa kutoa pesa za mstaafu kutoka hazina upoje? Anapata kwa mkupuo au anapewa kidogokidogo?Pension iliingia kabla ya pasaka,
kutakuwa na shida mahali.
Pengine hujaenda kuhakiki.
Yaani swali ni kwamba pesa inakua kiasi gani. Na vipi kama huyo mstaafu huyupo duniani.Ukiwa Mstaafu na tayari unajulikana na Hazina kuwa wewe ni Mstaafu na una check number basi itabidi Hazina wakuingizie pensheni yako kwenye akaunti yako ya Benki jinsi mliyokubaliana. Utaratibu huu unafanyika kila mwezi mpaka hapo Mungu atakapokuchukua duniani.
Ndugu zake hawawezi kuchukua hiyo pensheni hazina?Utakapofariki yule anayepokea pensheni basi pensheni yako inakoma.
Imeingi ya PSSSF mini pensheni badoPension iliingia kabla ya pasaka,
kutakuwa na shida mahali.
Pengine hujaenda kuhakiki.
Watajuaje haupo duniani?Ukiwa Mstaafu na tayari unajulikana na Hazina kuwa wewe ni Mstaafu na una check number basi itabidi Hazina wakuingizie pensheni yako kwenye akaunti yako ya Benki jinsi mliyokubaliana. Utaratibu huu unafanyika kila mwezi mpaka hapo Mungu atakapokuchukua duniani.
Vijana mjipange sana. Huku mitaani maisha ni magumu sana. Tulikuwa na marafiki wengi tulipokuwa kazini lakini wengi wametukimbia kwa sababu hatuna faida tena kwao. Kijana kama bado uko kazini jitahidi sana uwekekeze kidogo kidogo. Jenga nyumba, nunua kiwanja, nunua shamba n.k. Mfano niliweza kununua kiwanja mjini mwaka 1983 kwa shillingi 300,000 leo hii nimekiuza Tshs.70m. Vijana acheni anasa. Fikiria iko siku. Vijana jengeni familia kwa kuwasomesha watoto.
Ujumbe huu mzuri tunauchukua kwa utekelezaji.Vijana mjipange sana. Huku mitaani maisha ni magumu sana. Tulikuwa na marafiki wengi tulipokuwa kazini lakini wengi wametukimbia kwa sababu hatuna faida tena kwao. Kijana kama bado uko kazini jitahidi sana uwekekeze kidogo kidogo. Jenga nyumba, nunua kiwanja, nunua shamba n.k. Mfano niliweza kununua kiwanja mjini mwaka 1983 kwa shillingi 300,000 leo hii nimekiuza Tshs.70m. Vijana acheni anasa. Fikiria iko siku. Vijana jengeni familia kwa kuwasomesha watoto.