evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,156
Ni kipindi kingine tena wakati wa kuelekea uchaguz mkuu nchin Uganda utakaofanyika hapo mwakani ,ambapo Rais aliyepo madarakan anatarajia kupeperusha bendera ya chama chake tawala.Imekua ni kawaida sana kwa rais huyo kuachia wimbo ktk kipindi hiki ili kuhamasisha wapiga kura wampigie kura,Sio ajabu kumuona Pres.Museven kushika mic na kuanza kurap ktk kipindi hiki,moja ya wimbo wake nnaoujua ni ule anaoimba,"Do you want another rap" then inaitikiwa Yes ..
.....Ni safar nyingine tena Ambapo wakat huu ameanza mazungumZo na Mtayarishaji wa mziki nchini humo ,ambapo Museven alimwita IKULU kwa kuanza kazi .Kila la kher Pres.Museven
.....Ni safar nyingine tena Ambapo wakat huu ameanza mazungumZo na Mtayarishaji wa mziki nchini humo ,ambapo Museven alimwita IKULU kwa kuanza kazi .Kila la kher Pres.Museven