Kulikoni Ramadhani Kabwili (Football player)

Niliyowatumia hiyo clip inbox naomba mtumiane na wengine.

Msimamo wangu uko palepale aje mtu atuthibitishie huyo ni Kabwili? Amemtambuwa vipi?
Wanamchafua tu mtoto wa watu
Tuache hizo jamani, yule mtoto ana ndugu na wazazi wake hivi hao wanaomzushia hizi habari wanajua wazazi wake wapo katika hali gani kipindi hiki?
Tuwe na huruma ndugu zangu
 
Ushabiki wa mpira wakati mwingine umekua na utani unaopitiliza hili unalichukuliaje? Ni kuhamasisha mpira ama kukosa adabu?
 
Ni dhulma. Wana mfanyia dhulma kijana Kabwili. Dhulma dhidi ya heshima Na utu wake. Mungu akawalipe wote wanao mnenea kijana wa watu maneno maovu kiasi hicho
Kama ni kweli anabanduliwa basi hata yeye atakuwa katufanyia dhulma wanaume! Angekuwa anakula manzi hapa comments zingekuwa kuhusu jamaa anapiga tako za maana, mwanaume baadala ya kupiga tako yeye anapigwa tako!

Katufanyia dhulma si wanaume tu hadi MUNGU aliyemuumba na tango sio uke.
 
Endelea kudhulumu heshima ZA watu IPO siku Na wewe heshima yako itadhulumiwa
Zingatia nimeanza na neno "kama ni kweli", halafu unasex ukiwa unarekodi vidio ikija kuvuja, hakuna anayekudhulumu zaidi ya wewe mwenyewe!

Maana mapenzi ni usiri wa wanaofanya, ukihusisha na camera hakuna usiri tena hapo unakuwa umeamua kushare na sisi raia wengine.

Kumbuka dua ya kuku haimpati mwewe, zama za ukweli na uwazi hatupepesi tunapiga pale panapouma
 
Nimeangalia hiyo video clip ya sekunde kadhaa kwa ukweli wa Mungu huwezi kumtambuwa muhusika.

Kama ana kashfa ya ushoga basi iwe kwa ushahidi mwingine lakini siyo hiyo video clip inayosambaa...
Kumbe ndio iko hivyo!

Sasa kulikua na haja gani ya kumfanya afute page yake?

Au alikua anashambuliwa dm nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…