Kulikoni Ramadhani Kabwili (Football player)

Fedheha ipi na kwa jamii gan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbavu zangu mie uwiiiii. Poleeeeeh
 
Uandishi wako tu unadhihirisha tofauti kubwa ya uelewa wa mambo. Ivi=hivi, unavoongea=unavyoongea, kichwan= kichwani, kna=kuna

Rekebisha kwanza uandishi kisha unaweza kupata hata hoja kidogo ya kueleweka.
Sijaona hata hoja yako ya msingi kutoka kwako, labda ungeanza upya tena, relaaaaax.
 
Duh,kama kitendo kile umekiona cha kawaida sina la kuongeza tena. Jamii inasikitika wewe wajionea sawa tu masikini kweli dunia imefika mahali ambapo maombi ni muhimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiih, khaaaah
Byeeeeh
 
Mama mbona unapenda sana kujichekesha au ndo wale wale maana sio kwa cheko hilo tena unachokicheka hata hakichekeshi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ulitaka kua na hoja ya msingi, ila kuna sehemu ukajichanganya, na wengi wenu huwa mnajikoroga hapo, ndo maan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante kwa kuwa na kichwa chepesi kuelekezwa mara moja na tuition ikaingia vema. Si unaona sasa angalau umeanza kujua kuandika vizuri. Elimu haina mwisho kama hivi nimekupa tuition bure kabisa halafu hata hujashukuru.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeshindwa kuwasilisha hoja yako, si ukubali tyuuh khaaah.
 
nasoma comments zako between the lines. kuna maneno unatumia yanaleta hisia mbaya mf. kuita watu Mr, kusema Khaaaaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa niseme Sir? Mie najua me yeyote n Mr, khaaah c mshangao au, hiyo hisia mbaya iko nafsini mwako.
 
thibitisha kwamba wewe sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo mda napata wapi? Sina mambo mengne ya kufanya had nianze kuthibitisha au kukana kuwa mie ndiyo au siyo?

Watu mnachekesha sana khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo umeanza kuupigia promo kitambo? Hasara kubwa wamepata wazazi wako

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Eeeeh mie ndye katibu uenezi wa ushoga TZ, vp unataka kujiunga? Kadi na nafas bado zipo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe hasara n kwa wazaz wangu na c wee, haya relaaaaaaax, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…