Kulikoni risiti za ATM kufutika mapema?

Kulikoni risiti za ATM kufutika mapema?

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
895
Reaction score
571
Ndugu wana JF nashangazwa na risiti za atm za mabenki mbalimbali kufutika mapema. Je hakuna harufu ya ujanja hapo?
 
hata izi risit za EFD unaweza gombana ofisin kwenu kama umetumwa mkoani na unatakiwa urudishe risit za baadh ya matumiz nyingi zikikaa wiki hazisomeki tena!!!
 
Back
Top Bottom