vamda JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 895 Reaction score 571 Jul 3, 2014 #1 Ndugu wana JF nashangazwa na risiti za atm za mabenki mbalimbali kufutika mapema. Je hakuna harufu ya ujanja hapo?
Ndugu wana JF nashangazwa na risiti za atm za mabenki mbalimbali kufutika mapema. Je hakuna harufu ya ujanja hapo?
bona JF-Expert Member Joined Nov 6, 2009 Posts 3,798 Reaction score 1,440 Jul 3, 2014 #2 hata izi risit za EFD unaweza gombana ofisin kwenu kama umetumwa mkoani na unatakiwa urudishe risit za baadh ya matumiz nyingi zikikaa wiki hazisomeki tena!!!
hata izi risit za EFD unaweza gombana ofisin kwenu kama umetumwa mkoani na unatakiwa urudishe risit za baadh ya matumiz nyingi zikikaa wiki hazisomeki tena!!!