Kulikoni selection za kidato cha tano?

Kulikoni selection za kidato cha tano?

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
321
Reaction score
53
Ndg wanajamvi,poleni sana kwa majukumu ya hapa na pale. Naomba kujua kama hata kuna tetesi juu ya selection za kidato cha tano 2014, maana jambo hili lipo kimya sana.

Ahsanteni.
 
Kuna mpango wa kujenga shule za A level za kata ili wanafunzi wote waliomaliza form four wajiunge na A level. Mwaka huu hakuna selection ya A level.

Shule ulipomaliza form four ndiyo unaenda kuripoti mwezi wa saba kuanza form five. Hii no kwa wote waliomaliza form four mwaka jana.

Mpango unaitwa Elimu ya A level kwa wote.
 
Wengine mimba zimeshashamiri maana tuition zimezidi........wala hawajitingishi
 
dah! we acha tu,mi nahisi wanafanya hvyo kutupunguza sisi wengine tukate tamaa tuende chuo.
 
Kama vp tuandamane Wizarani ili wajue kweli tunazihitaji na tumechoka kusubiri au mnasemaje vijana?
my opinion
 
Back
Top Bottom