C CHIPANJE JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 321 Reaction score 53 Jun 11, 2014 #1 Ndg wanajamvi,poleni sana kwa majukumu ya hapa na pale. Naomba kujua kama hata kuna tetesi juu ya selection za kidato cha tano 2014, maana jambo hili lipo kimya sana. Ahsanteni.
Ndg wanajamvi,poleni sana kwa majukumu ya hapa na pale. Naomba kujua kama hata kuna tetesi juu ya selection za kidato cha tano 2014, maana jambo hili lipo kimya sana. Ahsanteni.
chambalo kafao Senior Member Joined Feb 8, 2014 Posts 193 Reaction score 209 Jun 11, 2014 #2 Kuna mpango wa kujenga shule za A level za kata ili wanafunzi wote waliomaliza form four wajiunge na A level. Mwaka huu hakuna selection ya A level. Shule ulipomaliza form four ndiyo unaenda kuripoti mwezi wa saba kuanza form five. Hii no kwa wote waliomaliza form four mwaka jana. Mpango unaitwa Elimu ya A level kwa wote.
Kuna mpango wa kujenga shule za A level za kata ili wanafunzi wote waliomaliza form four wajiunge na A level. Mwaka huu hakuna selection ya A level. Shule ulipomaliza form four ndiyo unaenda kuripoti mwezi wa saba kuanza form five. Hii no kwa wote waliomaliza form four mwaka jana. Mpango unaitwa Elimu ya A level kwa wote.
Michael Twaha Member Joined Apr 14, 2014 Posts 32 Reaction score 0 Jun 11, 2014 #3 dui!2mechoka kusubir
Ta Muganyizi R I P Joined Oct 19, 2010 Posts 5,355 Reaction score 2,736 Jun 11, 2014 #4 Wengine mimba zimeshashamiri maana tuition zimezidi........wala hawajitingishi
E Emma Piano Member Joined Jun 9, 2014 Posts 31 Reaction score 6 Jun 11, 2014 #5 dah! we acha tu,mi nahisi wanafanya hvyo kutupunguza sisi wengine tukate tamaa tuende chuo.
Raphael9 Senior Member Joined Apr 24, 2012 Posts 145 Reaction score 44 Jun 12, 2014 #6 Kuweni wa Pole Vijana!
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Jun 12, 2014 #7 Kama vp tuandamane Wizarani ili wajue kweli tunazihitaji na tumechoka kusubiri au mnasemaje vijana? my opinion
Kama vp tuandamane Wizarani ili wajue kweli tunazihitaji na tumechoka kusubiri au mnasemaje vijana? my opinion