Kulikoni Shaffih Dauda Kuangukia Pua kila Chaguzi?

shaffih kwa mtu anayejua mambo ya soka ni mweupe anakopi habar za goal.com na yuko bias sana!jeff na kumwembe ndo wanachambua saf
 
Uhodari wa kupiga porojo sio sifa ya kuwa kiongozi bora. Mfano Jumanne Kiwelu aka Julio aka Mourinho aka nani sijui!!!!!
 
shaffih kwa mtu anayejua mambo ya soka ni mweupe anakopi habar za goal.com na yuko bias sana!jeff na kumwembe ndo wanachambua saf

kweli wewe ndio soka hujui kabisa yani kumwembe nae ni mchambuzi mahiri?anaeandika vijinakala kwa kuangalia mindset za watu 'zilipolalia' shame upon him!!!
 
Shafii ni sawa na Wanenguaji wa dansi,akiwa jukwaani anakata mauno mpaka raha lakini ukienda nae kitandani,zero.
Pengine nae akikaa studioni ni muongeaji sana,lakini akibananishwa engo fulani,zero.

Haya uliyajuaje??
 
kweli wewe ndio soka hujui kabisa yani kumwembe nae ni mchambuzi mahiri?anaeandika vijinakala kwa kuangalia mindset za watu 'zilipolalia' shame upon him!!!

Tukubaliane kutokukubaliana,inaelekea wewe una tafsiri yako ya kujua soka.
 
tatizo shaffih anaropokana sana. kuongea kishabiki.Nilimsikiaga siku moja akisema mechi moja ya yanga na simba ikisetiwa ipasavyo,inaweza kuisaidia yanga au simba kupata pesa za kusafiri kwa ndege kewnda na kurudi msimu msima wa ligi,pamoja na kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na hoteli watkazofikia.Hapohapo yeye kaiingiza clouds hasara kwa kuileta timu ile ya sauzi mwezi uliopita...mpira sio siasa bora wamemtosa:shut-mouth:Aache kuongea kwa intererst binafsi
 
shaffih anaweza ttz vyama vyetu vya michezo vina ubabaishaji mwingi hawataki watu wa kweli!namshaur brother shaffih abakie kwny uchambuz tu maswala ya uongoz awachie wenyewe wanaojiita watu wa "mpira"

aliweza wapi wewe usifuate mkumbo!!....shafii njaa tu zinamsumbua
 
shaffih kwa mtu anayejua mambo ya soka ni mweupe anakopi habar za goal.com na yuko bias sana!jeff na kumwembe ndo wanachambua saf

shafii anajua kuchambua wacheza mpira na matukio yanayotokea kwenye soka kwa msaada wa google,mfano messi ana goli ngapi,rvp mshahara wake umeongezeka kiasi gani,guardiola na demu wake wanapenda kulala hotel gani....ukimpa azichambue dakika tisini za mchezo on the spot,lazima abanwe na haja.
 
you have said it all bra!kudos
 
Shafii hajua kabisa mpira ila anajua matukio, vituko na historia ya mpira kupitia mitandao kama alivyo dr. liki, hana uweze wa kuchambua mpira technically kama edo , abeid na wengineo, uchambuzi wake ni wa kinazi zaidi miaka nenda rudi huisifia sana arsenal kuwa itatisha katika msimu unaofuata lakini hamna kitu.

NA UKITAKA KUJUA HAJUI MPIRA SIKILIZA SIKU ANAPOCHAMBUA MPIRA AKIULIZWA GOLI LIMEFUNGWAJE, BADALA YA KUELEZA KITAALAM ATAANZA KUSEMA HILI GOLI LINANIKUMBUSHA MWAKA FLANI, KUNA MCHEZAJI FLANI ALIFUNGA HIVIHIVI KWENYE MECHI FLANI.
 
hivi kuwa kiongozi TFF hadi uwe ulishawahi kucheza mpira au uwe unajua mpira?
 
Ni muunguja aende kugombea kwao unguja pia huo uchambuzi kausomea wapi?hakuna uchambuzi wote anajisemea tu kwa utashi wake.
 
Shafii ni sawa na Wanenguaji wa dansi,akiwa jukwaani anakata mauno mpaka raha lakini ukienda nae kitandani,zero.
Pengine nae akikaa studioni ni muongeaji sana,lakini akibananishwa engo fulani,zero.

Khah mwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…