Kulikoni TCU?

Kulikoni TCU?

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
5,143
Reaction score
3,199
Jamani, nimeona tangazo somewhere kwamba maombi kwa ajili ya kujiunga na vyuo vikuu yameshaanza kutumwa kupitia kwenye website ya TCU. Lakini kinachonishangaza ni kwamba ni kama wiki sasa hiyo website ya TCU ipo offline. Tafadhari tujulisheni; je ni kweli kwamba maombi yameanza kutumwa? Na kama ni kweli sasa yanatumwa kwa njia ipi ilihali website yao ipo offline?

Na kingine, bodi ya mikopo nayo kulikoni? Je ni kweli kwamba application za mikopo zimeanza? Mbona sioni tangazo lolote wala directives za aina yoyote juu ya applications kwenye website yao? Ni nini maana ya kuwa na hizi website kama hazitumiki kutangaza mambo mhimu kama haya ambayo ndiyo msingi wa uwepo wa hizi taasisi?
 
Acha uongo kaka,maombi yalianza tangu tarehe 15 mwezi wa tatu 2013 kwa wale waliomaliza fom six 1988 hadi 2012 na mwisho ulikua tarehe 30 april 2013,kwa sasa watakaoruhusiwa kuomba ni wale tu waliomaliza 2013 fom six,mie niliomba kupitia website ya tcu kwa central admission system,Home - Tanzania Commission for Universities.
 
sasa ww n form six w 2013?,M nnavyojua matangazo hutolewa baada y matokeo kutoka! AU ka vp tujuze na cc...!!
 
Jamani, nimeona tangazo somewhere kwamba maombi kwa ajili ya kujiunga na vyuo vikuu yameshaanza kutumwa kupitia kwenye website ya TCU. Lakini kinachonishangaza ni kwamba ni kama wiki sasa hiyo website ya TCU ipo offline. Tafadhari tujulisheni; je ni kweli kwamba maombi yameanza kutumwa? Na kama ni kweli sasa yanatumwa kwa njia ipi ilihali website yao ipo offline?

Na kingine, bodi ya mikopo nayo kulikoni? Je ni kweli kwamba application za mikopo zimeanza? Mbona sioni tangazo lolote wala directives za aina yoyote juu ya applications kwenye website yao? Ni nini maana ya kuwa na hizi website kama hazitumiki kutangaza mambo mhimu kama haya ambayo ndiyo msingi wa uwepo wa hizi taasisi?

BLUE: ni kweli website yao ilikuwa haipatikani lakini kwa siku mbili nilizoshuhudia. Sasa ipo LAKINI kwa wenye Diploma (CAS/NACTE) baada ya Registration ukija kwenye kuomba vyuo na course haikubali na hawapokei simu.

RED: hawa Mikopo (HESLB) nao wameshaanza lakini inabidi uipate link ya OLAS kupitia Google na sijui kwa nini OLAS kwenye website yao iko kimya
 
Acha uongo kaka,maombi yalianza tangu tarehe 15 mwezi wa tatu 2013 kwa wale waliomaliza fom six 1988 hadi 2012 na mwisho ulikua tarehe 30 april 2013,kwa sasa watakaoruhusiwa kuomba ni wale tu waliomaliza 2013 fom six,mie niliomba kupitia website ya tcu kwa central admission system,Home - Tanzania Commission for Universities.
Siku karibu tatu au nne zilizopita website hii ilikuwa haifunguki kabisa. Leo baada ya kupata hii post yako, nimejaribu kufungua, lakini nikienda kwenye central admission system hiki hapa chini ndiyo kinachokuja. Hivi kwenye pick times kama hizi ni kwanini hizi website mhimu kama hizi zinakuwa na kwikwi? Second, ni kwanini matokeo ya form six hayatoki, ili angalau watu wawe na uhakika na kile wanachofikiria kukifanya? Yaani bongo sijui ni mahali gani tutakuta kuna watu wanaofanya kazi kwa umakini? Kila idara ni uozo tu. You would think kwamba hawa ni watu wa elimu ya juu angalau waonyeshe umakini kidogo, lakini ni hovyo tu kama kwingine kokote. Tuna safari ndefu sana kuyafikia mabadiliko katika nchi hii.

404Article not found
You may not be able to visit this page because of:

  1. an out-of-date bookmark/favourite
  2. a search engine that has an out-of-date listing for this site
  3. a mistyped address
  4. you have no access to this page
  5. The requested resource was not found.
  6. An error has occurred while processing your request.
Please try one of the following pages:

If difficulties persist, please contact the System Administrator of this site and report the error below..
Article not found

BLUE: ni kweli website yao ilikuwa haipatikani lakini kwa siku mbili nilizoshuhudia. Sasa ipo LAKINI kwa wenye Diploma (CAS/NACTE) baada ya Registration ukija kwenye kuomba vyuo na course haikubali na hawapokei simu.

RED: hawa Mikopo (HESLB) nao wameshaanza lakini inabidi uipate link ya OLAS kupitia Google na sijui kwa nini OLAS kwenye website yao iko kimya
Thanks mkuu. Nitacheki hiki kitu kinachoitwa OLAS kuona naweza kufanya nini. Ila hiyo website ya TCU hadi leo imenigomea. I real hate the systems in Tanzania. Cha ajabu dealine ikifika wanafunga kabisa website na kusahau kwamba kwanza matokeo yamecheleweshwa na pili website yao ilikuwa ina kwikwi. Inakera sana hii hali.
 
Back
Top Bottom