Kifo cha Wangwe. Dogo alihukumiwa kufungwa kwa kuendesha gari bila leseni na wakili wake alikata rufaa nafikiri hii rufaa itakuwa bado. Sijui kama kuna mtu ana habari zaidi.
Kifo cha Kombe yule askari aliyeua pia alihukumiwa sina hakika kunyongwa au maisha lakini hukumu ilitoka na familia ilikuwa ilipwe kiasi fulani kwa mauji yaliyofanywa na askari wake.