Kulikoni:Ulinzi Bungeni

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
>Vioo vya kuzuia risasi( bullet proof glasses )
> Mbwa askari (German sherphad dogs)
>Polisi wa doria
> Uzio (fences)

Je kuna tishio la kigaidi????


Kulikoniiiiii
 
>Vioo vya kuzuia risasi( bullet proof glasses )
> Mbwa askari (German sherphad dogs)
>Polisi wa doria
> Uzio (fences)

Je kuna tishio la kigaidi????


Kulikoniiiiii


Na kuna farasi kibao!

Binafisi Hili bunge livunjwe kabisa! Hamna lolote wanalofanya Zaidi ya kula kodi zetu tu na kutuletea katiba mbovu!
 
Na kuna farasi kibao!

Binafisi Hili bunge livunjwe kabisa! Hamna lolote wanalofanya Zaidi ya kula kodi zetu tu na kutuletea katiba mbovu!


Tena waaache kulalamika kuhusu posho .....eti ni ndogo .

Wajumbe wameenda bungeni kuvuna mitaji.
 
ujue ccm wanajua wanachokifanya. Wanataka kulazimisha hoja zao, hasa ile ya serikali mbili. Nadhani ukuta wa Berlin ulikuwa strong zaidi ya hako ka uzio wanakokajenga lkn watu waligawana ule ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…