Kama ni netiboli inatokana na upumbavu wa kuiga.
Na kama kweli hivi sasa tunayashabikia haya mengineyo kama wasiokuwa na uongofu, sisi Wazenji, basi laana ya Mwenyezi Mungu itushukie. Kusafishwa na tsunami ni bora zaidi kulikoni kuuendeleza au kuushabikia uchafu wa liwati na wale ambao eti wanajiita waislamu. Kuushabikia kiasi kwamba yule anayesema against anaonekana mdini au inam-bidi aone haya, afunge mdomo. Hiyo sio Zenji, labda New Orleans au Sydney. Bahati nzuri au mbaya, Wazenji wengi ambao wangekuwa against hawana access na vyombo vya mitandao. Mjijue nyinyi Wazenji ambao mna access ya kulitandaza jambo ukiwa Kikwajuni, Kwahajitumbo au Kwahani na kufumba na kufumbua tayari linasomwa Tokyo, New York, Uholanzi au Johanesburgh mmo katika mtego, tena mtego m-baya sana kama msipokuwa makini. Mwenyezi Mungu atuongoze.
Yapo kweli tangu zamani, kila mtu anajua, lakini hayajawahi kushabikiwa. Wakati wote kule Zenji hata hao wanaoyafanya wanajijua kwamba wana defect, wana madhambi na adhabu inawasubiri isipokuwa watubu na toba yao ikubaliwe.
Samahani nimezungumza kwa ulaini na kupoza sana.