Kulikoni Watanzania tusijitathmini au japo kujilinganisha na wenzetu?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Zambia na Tanzania ni nchi mbili majirani.

Tanzania tukiwa kwenye rojo la CAG na ubadhirifu mkubwa, hali hizi:



ni sehemu ya maisha.

Kama vile haitoshi, huku kazi inaendelea:



Zambia ni hawa hapa:



Kwa nini wanaokenua kwetu kama si mananihii kabisa, wasipimwe japo mkojo?

Tujitafakari, tutakuwa tumepotea njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…