Kulikoni website ya Tcu!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Tangu nianze kufuatlia selection za madogo kwenye web ya tcu,leo ni mara ya tano nakuta web yao haiko hewani bila sababu za msingi...kwa anaejua a2fahamishe,ni nin mbaya huko!
 
Tangu nianze kufuatlia selection za madogo kwenye web ya tcu,leo ni mara ya tano nakuta web yao haiko hewani bila sababu za msingi...kwa anaejua a2fahamishe,ni nin mbaya huko!

Hamna jipya mambo ni yale yale tu, kwani hao madogo wambie wavute subira yaani hata wasahau kama kuna kwenda chuo mwaka huu maana mambo bado baada ya tcu ni loan board so bora kutulia tu maana nikujitesa
 
huu msiba saivi siasa kila mahali...tcu kuna virus kama vp tuwa scan kama misri
 
tunataka kwenda na wakati, ilihali hatujajipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…