Kulikoni ya wanawake na mavazi haya? Inasikitisha mnapoteza asili yenu


niambie ni dunia gani unayoishi nami nije kuishi huko. kila mwanamke anavaa uchi?!
 
MKUU angalia bold uandishi wa aina hii ndo unaowakwaza watu wengi. Hapa siyo tu kwamba uko too general, hapa unamaanisha wanawake wote, which is not true. Ningekubaliana na wewe moja kwamoja kama ungetumia vielezi vya idadi kukwepa kujumuisha hata wasiohusika. Nakubaliana na wewe kuwa lipo tatizo la msingi kuhusu namna ya uvaaji kwa baadhi ya wanawake na athari zake ziko wazi. Hata wanaobisha ni kwa sababu wanataka kunogesha mjadala tu
 
Umewapa ukweli na utabaki kuwa ukweli japo kudadeki wamefulia na wanajidai kuja juu ,yaani umewagusa ndipo kabisa ndio maana yake,tatizo wanakuja na masuali ya vibarazani badala ya kuijadili hoja yenyewe. Yaani umewakandamiza vibaya kabisa ,sema wanatafuta seemu ya kutokea :roll:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…