OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
View: https://www.instagram.com/p/C1oOXzsKn-N/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Unajiuliza hiki ni kikundi cha wahuni ama nini. Hata ndondo cup ya kina Shafii Dauda sidhani kama wanaweza kufanya hivi. Mambo mengine ni udhalilishaji.
Pale kuna mataifa mbalimbali yamealikwa, mwisho wa siku anayeonekana akili ndogo sio Utopolo tu bali ni watanzania