OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Umeandikia mada ipi?Kama kweli wewe Boban Okwi Sunzu unajiamini kabisa, embu njoo na uzi uandike Yanga hachezi robo fainali ya CAF champions league msimu huu. Nione kama bado una ujasiri au spana zimekuingia za kutosha hamu tena na Yanga huna.
Wakati mnachoma uwanja kule bondeni kwa kaburu hamkulifikiria hili kwamba taifa linaaibika?Pale kuna mataifa mbalimbali yamealikwa, mwisho wa siku anayeonekana akili ndogo sio Utopolo tu bali ni watanzania