MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Achana na kitu Kiu.... Cha msingi Dewji amlipe malimbikizo yake, atalipa.... Vinginevyo tutaamini ni wivu wa Muddy dhidi ya Nkude na CEO [emoji41]Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani ya mshahara tokea mwezi wa 6.
Nini maoni yako?
Kamtongoza Barbara godoro la spring la Mwamwedi, ugomvi umeanzia hapoMkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani ya mshahara tokea mwezi wa 6.
Nini maoni yako?
Kiduka cha MangiTaja kwanza jina la Bar ndo tuendelee kujadili hili.
alikua kona barTaja kwanza jina la Bar ndo tuendelee kujadili hili.
tangu mwezi wa 6 hamjampa pesa yake nendeni mkalipe bili zake za bia.Utopolo tu huu habari za kutunga, mkude miaka yote hiyo yuko simba ndo anaishi kwa mshahala wa kila mwezi kweli hata walimu hawako hivyo siku hizi
nitakushangaa san akama propaganda za utopolo zinakuchanganya,puuza PUUZAMkuu unatuchanganya tushike lipi kat ya BABRA au KUTOLIPA DENI?
Tuhakikishie kwanza kuwa ww ni mke wa mkudeMkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani ya mshahara tokea mwezi wa 6.
Nini maoni yako?
Nipe jina la hiyo bar nikalipe hiyo bill ya bia maana ni kinywaji pendwa sanatangu mwezi wa 6 hamjampa pesa yake nendeni mkalipe bili zake za bia.
Yaani Mikia mmemfanya Mo Dewji kuwa Mungu wenu, hata akitema mate mnagombania myalambe [emoji23][emoji23][emoji23]Utopolo mnajitahidi sana kututoa kwenye reli madai ya malipo ya Tambwe
Alikua Kona Bar kanywa Balimi 19 na nusu, pia aliwaagizia wadada meza ya jirani K.vant kubwa na maji kubwa mbili.Nipe jina la hiyo bar nikalipe hiyo bill ya bia maana ni kinywaji pendwa sana
Kwani Mikia huwa ina akili? yatateteana ujingaMkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.