Uko sahihi kabisa. Naunga mkono hoja..Kwani nani kasema kuwa Nape katimuliwa kwasbb ya kauli hiyo? Makamba na Kinana nao waliitamka hiyo kauli?
Hiyo kauli hata bibi mwenyewe aliitamka katika uchaguzi wa 2020 kuwa "hata kama watanzania watawapigia kura wapinzani, ccm ndiyo itaunda serikali". Kauli hii haina tofauti na ile ya Nape.
Nape kafurushwa kwa kuonesha kuwa hana Imani na mama kugombea tena urais 2025, hivyo alikuwa anapangua mipango mingine na rafiki yake Makamba.
Watanzania tungekuwa na akili tungewaunga mkono watu hawa.
Unawaungaje mkono watu ambao hawaamini katika demokrasia?Kwani nani kasema kuwa Nape katimuliwa kwasbb ya kauli hiyo? Makamba na Kinana nao waliitamka hiyo kauli?
Hiyo kauli hata bibi mwenyewe aliitamka katika uchaguzi wa 2020 kuwa "hata kama watanzania watawapigia kura wapinzani, ccm ndiyo itaunda serikali". Kauli hii haina tofauti na ile ya Nape.
Nape kafurushwa kwa kuonesha kuwa hana Imani na mama kugombea tena urais 2025, hivyo alikuwa anapangua mipango mingine na rafiki yake Makamba.
Watanzania tungekuwa na akili tungewaunga mkono watu hawa.
Kweli kabisa. Kabla ya huyu bibi kuwa ikulu, nani alimfahamu Abdul? Lkn hivi sasa Abdul amekuwa maarufu kuliko PM na anachota hela hazina kama zake vile.Kuna biashara Ikulu, it is all dictated by lust for powers
Hata hizi kesi tunazo poteza na kudaiwa fidia ya mabilioni na ma trilioni, kuna mkono wa mtuKweli kabisa. Kabla ya huyu bibi kuwa ikulu, nani alimfahamu Abdul? Lkn hivi sasa Abdul amekuwa maarufu kuliko PM na anachota hela hazina kama zake vile.
Mbaya zaidi anafanya mazungumzo na Jumuiya za kimataifa kama mwakilishi wa serikali!Kweli kabisa. Kabla ya huyu bibi kuwa ikulu, nani alimfahamu Abdul? Lkn hivi sasa Abdul amekuwa maarufu kuliko PM na anachota hela hazina kama zake vile.
π€£π€£π€£wewe tunakusomea Kurjuaaan tutake radhi haraka sanaWatanzania tungekuwa na akili tungewaunga mkono watu hawa.
Alitoa siri ya kambi hadharani.Kama hali ya kuzuia shughuli za kisiasa ndiyo hii na kukamata viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani ndiyo huu, kosa la Nape ni nini?
Nape alitamka kuwa mshindi katika uchaguzi hatokani na sanduku la kura, na huo ndio ukweli kwa nini Samia akamtimua kwa kusema ukweli?
Hiyo kauli yako ya mwisho nimekuona huna akili yaani tuwaunge mkono wahalifu/watu wenye uwezo mdogo ?Kwani nani kasema kuwa Nape katimuliwa kwasbb ya kauli hiyo? Makamba na Kinana nao waliitamka hiyo kauli?
Hiyo kauli hata bibi mwenyewe aliitamka katika uchaguzi wa 2020 kuwa "hata kama watanzania watawapigia kura wapinzani, ccm ndiyo itaunda serikali". Kauli hii haina tofauti na ile ya Nape.
Nape kafurushwa kwa kuonesha kuwa hana Imani na mama kugombea tena urais 2025, hivyo alikuwa anapangua mipango mingine na rafiki yake Makamba.
Watanzania tungekuwa na akili tungewaunga mkono watu hawa.
Na wapi iliandikwa huyo uliyemtaja ana hatimiliki na madaraka ya nchi hii (kupitia hoja yako) ? Je, pia Umewahi kusoma CV ya Mzee Msuya, Jaji Warioba na Mzee Kawawa?Kama hali ya kuzuia shughuli za kisiasa ndiyo hii na kukamata viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani ndiyo huu, kosa la Nape ni nini?
Nape alitamka kuwa mshindi katika uchaguzi hatokani na sanduku la kura, na huo ndio ukweli kwa nini Samia akamtimua kwa kusema ukweli?
Sitegemei hoja tofauti kwa chawa!Na
Na wapi iliandikwa huyo uliyemtaja ana hatimiliki na madaraka ya nchi hii (kupitia hoja yako) ? Je, pia Umewahi kusoma CV ya Mzee Msuya, Jaji Warioba na Mzee Kawawa?
Soma walivyowahi kuondolewa na kurudishwa. Tatizo vijana wa siku hzi ile cheo ni dhamana hatujui. Tukiteuliwa cheers kibao ila tukiondolewa maneno mi.ngiii..# Tumwache Mhe. Rais ateue awatakao. πππ
πππ Asante kunivunjia heshima.Sitegemei hoja tofauti kwa chawa!