Waaambie hao wanaovuruga mpira wetu.Ndiyo na haya ndio maisha yetu ya soka, hayatofautiani sana yale ya kisiasa. Zipo au ipo timu iliwahi kunufaika na ofa hiyo kubwa ya kujichagulia mechi za kutumikia adhabu.
Sishangai na wala sitashangaa, wao si wanadhani wameshika mpini? Hawajui tu sisi ndio tumeshika huo mpini.
Kivipi?
Mpango mzima ni kugoma kuingia viwanjani.
Usipoingia uwanjani unapokwa Pointi then unashuka daraja very simpleNdiyo na haya ndio maisha yetu ya soka, hayatofautiani sana yale ya kisiasa. Zipo au ipo timu iliwahi kunufaika na ofa hiyo kubwa ya kujichagulia mechi za kutumikia adhabu.
Sishangai na wala sitashangaa, wao si wanadhani wameshika mpini? Hawajui tu sisi ndio tumeshika huo mpini.
Kivipi?
Mpango mzima ni kugoma kuingia viwanjani.
Bahati mbaya hata wao walituchangia point 4Vyura mipovu inawamwagika mwaaaaaaaaaaah hahahahahaahah kuongoza ligi rahaaaaaaaa