Mzuka wanajamvi!
Ni hivi mechi ambayo inaendelea sasa hivi Benin na Madagascar ni 1-0 Benin wanaongiza na wako mapumziko.
Hapa kinachohitajika siyo kingine kila atakayesoma huu uzi ajikite kwenye maombi makali sana wakirudi kipindi cha pili Madagascar iifunge Benin magoli mawili ama watoke sare.
Endapo Madagascar itashinda basi Benin itabaki ya tatu kwenye table na point 7 na endapo Benin watadraw na Madagascar watakuwa na Point 8 ambayo siyo mbaya kivile kwetu.
Lakini Benin akishinda mechi ya leo inabidi taifa lote tuzidishe maombi makali sana miujiza itokee.
Mungu tusaidie Madagascar iifunge Benin leo. Halafu jumapili Congo watoke sare na Benin. Halafu timu yetu kipenzi taifa stars jumapili iifunge Madagascar kwa kushinda mechi.
Kulingana na uzoefu wangu wa mpira bado taifa stars ina nafasi kubwa sana ya kufuzu kombe la dunia. Kwasababu gani nasema hivi tuna Mungu. Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu na jumapili jioni table itasomeka hivi
Timu Pointi
TAIFA STARS : 10
Congo. : 09
Benin. : 08
Madagascar : 06
Senior JF local and International sport correspondent and analysist.
Masters!