Kulipa bill before menu

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Yaani huu mfumo wa kulipa kabla ya huduma iwe rule kwa kila establishment Km KFC na wengine coz yaliyonikuta🤧🤧🤧🤧
Nimefika sehemu nimeagiza kinywaji Uyo dada kaja na kinywaji chake akaanza kuniongelesha na tukaongea weee Kumbe katoa signal Nipo naye which means bills on me. Me Sina hata habari tukapiga stori tofauti kabisa different from malavidavi etc she was professional and talked mostly about politics and non sexual matters then akaniaga baada ya kunisoma nataka kuondoka saa ngapi. Later before I left si naletewa bill with 30k plus is iyonihusu😳😳😳😳 I tried kuelezea wapi; ikabidi nitoe tu kukwepa ugomvi so heri ulipe kabla tu Km sheria lol
 
Karibu mjini...
Mimi nikikaa sehemu nakula sitaki mazoea na yeyote nisiemfaham..
Kuanzia ombaomba Hadi wauza bidhaa ..nawapa Sura ya kukataa mazoea hata hawanisogelei....

Wadada WA hivyo kama mzoefu rahisi Sana kuwa spot na kuwafungia vioo mapema sana
 
😀😀😀
 
Matapeli ni noma. Kuna jamaa hatufahamiani aliniibia simu kiulaini sana. Kanikuta kwenye meza nimekaa akaja anapiga vitu mixer story utadhani ananijua. Mitungi imeshaanza kunikaa sawa akaniomba simu ampigie demu wake yake salio limeisha. Nilivyo boya nikampa akaongea naye mara kama anasogea pembeni mara anatokomea mi namcheki tu! Kuja kusanuka nishaibiwa! Mjini shida sana
 
Na walevi huwa mnaaminiana kiboya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…