Kulipeleka kombe Ofisi za GSM badala ya Jangwani ni dharau kubwa kwa uongozi, wanachama na mashabiki wa Yanga

Mkuu Mbona Bado Hilo Kombe Tunaweka Ratiba Kila Nyumba Ya Fan Wa Dar Young Africans Atalipokea Nyumbani Kwake Na Kukaa Nalo Angalau Masaa Machache Hadi Wote Wakamilike.
Mwacheni aweweseke na hang over ya kipigo Cha tz prison
 
Pilipili iko shamba we inakuwashia nini?
 
Wananchi siku zote ni mafukara, ukame wa miaka 4 tuwavumilie
 
Wewe ni takataka Kama zilivyo takataka nyingine, unakijua unachokiandika au umekurupuka tu, kwani hilo kombe limeanzia wapi? Kuna dhambi gani kombe kutembezwa kwa wadhamini na washika dau waliofanikisha yanga kuubeba huo ubingwa? Nyie makolo mbona makombe mmeyaweka kwenye ofisi za Mo? Maumivu yanapozidi meza paracetamo eboh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…