Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Wakuu amani iwe kwenu.
Baada ya kutafakari kwa muda mrefu nimeona nilete suala hili hapa jukwaani. Inakuwaje mtanzania mlipa Kodi na mkulima wa taifa hili analazimika kulipia gharama za kumuona daktari ama kulipia Hela ya file pindi anapofika kwenye hospitali?.
Suala hapa ni kwa namna Gani Kodi tunayolipa inatumika na vipi vipaumbele vya taifa kwenye maswala ya msingi kama afya?
Mara kadhaa kumekuwepo na malalamiko ya wananchi juu ya gharama na tozo zisizo za msingi pindi wanapofika kwenye huduma za afya za Umma.
Malipo ya kufungulia file ni malipo ya hovyo na yamekaa kitapeli kwani afya za watanzania haziwezi kutumiwa kama kigezo Cha pass ya uhai wao wafikapo hospitali.
Malipo haya yanapaswa kuondolewa mara moja ili kuwafanya watanzania kupenda kwenda kwenye huduma za afya tofauti na Sasa watu wengi wanakwepa kutokana na malipo ya file. The lost