Usipate shida hii nisawa namalipo mengine yoyote kupitia njia ya bank,inakulazimu kuwa na moja kati ya zifuatazo kwa card za bank pay online. Viza,Master,Elecronic cards,zipo nyingi sana,lakini tunazo tumia tanzania ni chache,lakini inawezekana.nimetumia visa card kwa kununulia tiketi ya ndege sio mara 1.