kulipisha wanafunzi pesa ni adhabu inayokubaliwa kisheria?

kulipisha wanafunzi pesa ni adhabu inayokubaliwa kisheria?

mnyalu d

Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
81
Reaction score
6
ndugu wadau naomba tusaidiane katika suala hili,maana siku moja nilipata kutembelea shule furani ENGLISH MEADIUM ambayo ipo rujewa kukuta watoto walio kuwa wakiuza chapati,ubuyu n.k,kunyang'anywa vitu hivyo na wazazi wao kuamliwa kulipa shs 30,000/=
 
Mbona hueleweki? Wanaouza wanatoka nje au ndani ya hiyo shule? Na hiyo ni English Medium gani?/itaje.. Rujewa Mbeya au? Wakilimwa faini kuna tatizo gani? Hiyo ni shule au mini market? Nijibu kwanza maana nina hasira hapa sijui kwa nini!!
 
Inawezekana shule ina control vyakula wanavyokula wanafunz wao, cyo kila m2 anapaswa kuwauzia hao wanafunz! wakiumwa ma2mbo shule ndo inakuwa responcbl au umesahau yaliyotokea india majuz?
 
Back
Top Bottom