Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Leo tujikumbushe mada hii inayovutia sana
Miaka 62 baada ya yesu kristo mlima mmoja unaoitwa mount Vesuvius ulilipuka volkano na ukafukia kabisa miji minne mikubwa enzi hizo mji maarufu ukiwa Pompeii pia miji ya Herculaneum, oplontis na stabiae ilifukiwa kabisa
Volkano hii ililipuka km 33 kwenda angani sawa na mile 21 toka ardhini kwenda juu na ilikuwa inamwaga karibu tani 1.5milioni za mavumbi kwa sekunde na mlipuko wake ulikuwa ni mkubwa Mara laki moja 100,000 kuzidi ile milipuko ya mabomu ya nyuklia ya Hiroshima na Nagasaki
Watu walifukiwa kabisa na mpaka Leo hii miili yao IPO vizuri kabisa na inaonekana japo ikiwa imefunikwa na ugumu wa lava iliyopoa
Lakini waliokutwa na kifo wakiwa wamelala au wamekaa miili yao IPO mpk Leo hii.
Huo ndio mount Vesuvius ulioleta balaa kubwa sana huko Italia karne 20 zilizopita
Najifunza kuwa mwandishi kama DA Vinci na wakali wengineo.