Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Walipo jiongezea kinga yakutoshtakiwa, walikuwa tayari na dhamira ya uasi dhidi ya katiba na sheria za nchi. Na hali itaendelea kuwa hivyo adi siku wananchi tutakapo acha uoga/unafiki nakuirudisha nchi katika mstari sahihi.Endapo mtu atalipwa mshara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba?...
Maoni yako yanaheshimika. siasa muda wake umekwisha. tuchape kazi kwa bidii, tulipe kodi wabunge walipwe vizuri waendeshe nchi ikifika siku ya siku una dead na unazikwa huko ndiko kuna mambo bul bulEndapo mtu atalipwa mshara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba?
Kama haiwezekani kushtakiwa kwanini watumishi wa Umma wanaokosa sifa zakuendelea kuwa watumishi kwa mujibu wa katiba na sheria wasiendelee kulipwa posho na mishahara pale katibu mkuu kiongoz na hazina watakapojisikia kuwalipa?
Ni sahihi kila kiongoz akawa na mamlaka yakuelekeza matumiz ya fedha za umma hata Kama Kuna ukiukwaji wa sheria na katiba?
Hili ndo jibu sahihi Sana, Sasa wananchi tumeelewa kwanini walijiongezea Kinga.Walipo jiongezea kinga yakutoshtakiwa, walikuwa tayari na dhamira ya uasi dhidi ya katiba na sheria za nchi. Na hali itaendelea kuwa hivyo adi siku wananchi tutakapo acha uoga/unafiki nakuirudisha nchi katika mstari sahihi.
Uko sahihi kabisa kwa asilimia 100Endapo mtu atalipwa mshahara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba?
Kama haiwezekani kushtakiwa kwanini watumishi wa Umma wanaokosa sifa zakuendelea kuwa watumishi kwa mujibu wa katiba na sheria wasiendelee kulipwa posho na mishahara pale katibu mkuu kiongozi na hazina watakapojisikia kuwalipa?
Ni sahihi kila kiongozi akawa na mamlaka yakuelekeza matumizi ya fedha za umma hata Kama Kuna ukiukwaji wa sheria na katiba?
Kwani Ndugai anasemaje?hii ni dharau kwa wananchi. Halafu unakuta mtu anakenua magego sijui uzalendo.
Makosa ni ya Chadema, walipowafukuza wakawaambia wakate rufaa na wamekata. Rufaa yao ikikataliwa ndo watakuwa wamefukuzwa rasmi ila kwa Sasa bado wanachama.Kwani Ndugai anasemaje?
Inawezekana na yeye amepewa maelekezo kutoka juu yake.
Sasahivi tunaendeshwa na mtu na siyo sheria na taratibuEndapo mtu atalipwa mshahara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba?
Kama haiwezekani kushtakiwa kwanini watumishi wa Umma wanaokosa sifa zakuendelea kuwa watumishi kwa mujibu wa katiba na sheria wasiendelee kulipwa posho na mishahara pale katibu mkuu kiongozi na hazina watakapojisikia kuwalipa?
Ni sahihi kila kiongozi akawa na mamlaka yakuelekeza matumizi ya fedha za umma hata Kama Kuna ukiukwaji wa sheria na katiba?