royal tourtz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 255
- 326
Wale wanaume mnaotogoza wake za watu watakubaliana ni mimi hapo mwishoni kwa msimamo wangu,mimi ni muoga sana kutembea na mke wa mtu na huwa sina kujiamini kabisa.. ila katika pitapita huwa inatokea unakutana na mwanamke na haukutegea kuwa atakuwa mke wa tu. ila baada ya kumjulisha hitaji lako anakuambia ukweli kuwa yeye ni mke wa mtu lakini yuko tayari kufanya kwa siri kubwa sana kama mtakubaliana.
Unaweza kuta huyo mke wa mtu anakuambia ukweli kuwa mme wake anafatilia mawasiliano yake na hata namba anaweza asikupe au akakupa kwa angalizo kubwa sana ta tahadhari. na ukweli ukimwangalia anamaaanisha kuwa hayuko huru kabisa na mmewe anamfatilia kwa karibu. ;lakini cha ajabu wakurugwa, a.k.a wahuni sio watu wazuri wanambandua mkeo na bado wewe unafatilia mawasiliano yeke kwa ukaribu.
Kuna mmoja nilikutana naye hata namba alikaa kunipa ila kila alikipanga vizuri ila mimi niliamua kuacha maana huwa sina ujasiri kabisa.
Kuna mwingine alinipa namba na baada ya kunipa nilingudua kuwa mme wake mda mwingi huwa anashika simu yake lakini mdada alikuwa anapanga kila kitu ila mimi ndio natoa nje. Kuna mwingine kila mawasiliano mwanaume anayafatilia lakini cha ajabu mwanamke anaweza kwenda hadi geita kutokea mwanza na kurudi kwenda kusaliti ndoa tu.
NILICHIJIFUNZA, NI KWELI MWANAMKE ANAHITAJI ATTETION YAANI UFATILIAJI ILA VIZURI KUWA UNAONGEA NAYE KUHUSU USALITI NA YEYE AJITAMBUE ILI AAMUE MWENYEWE KUTULIA.KULIKO KUMFATILIA KILA HATUA NA WEWE NDIO UTAISHIA KUUMIA MOYO MWENZAKO HATA HAWAZI