samahani ndugu zangu ila nlikua naomba msaada kujulishwa ni kitu gan uwa kinamfanya mwanaume Goli la kwanza anakua na nguvu za kutosha ila baada ya hilo goli la kwanza,kinachofatia ni uume kulala.
Nawasilisha ndgu zangu na nategemea msaada wenu
Kwanza niseme mtoa mada maelezo yako hayajitoshelezi kupata ushauri unaofaa.Kuna vitu watu watataka kufahamu.
Kwa mfano:
1. Ni lini na ktk umri gani umeanza kuona tatizo hilo
2. Hili tatizo ni la moja kwa moja,au kuna siku nyingine unapata ktk muda ambao kwako unaona ndio wa kawaida kufunga goli
3. Ni kwa muda gani uume unalala kabla ya kusimama kwa ajili ya raundi nyigine.
4. Je hali hii inakutokea hata ukiwa na wanawake tofauti
5. Lakini pia hujasema kama hili ni tatizo lako au ni mtu mwingi
Hapa napenda kwanza tuelewane. Ni jambo la kawaida sana kimaumbile uume kulala baada ya kupata goli;na ndivyo inavyotakiwa kiafya! Kuna watu ni waongo sana au wanapenda sana sifa.Watu hawa wanadiriki kusema kuwa wana uwezo wa kwenda hadi roundi 3 bila uume kulala.Hii sio kweli! Na kama wapo,ni wachache sana na pia ni hatari kwa afya zao.Uume ukisimama ni kwamba damu nyingi imejaa na imetulia kwenye mishipa ya uume;baada ya kupata goli,damu inatakiwa kurudi tena kwenye mzunguko ili ikasafishwe.
Pia ni jambo la kawaida sana kupata mapema goli la kwanza kuliko magoli mengine yanayofuata.Hili ni jambo linaloelezeka kiuzuri tu kisayansi.Tusisahau hisia za mwanamke ziko mbali zaidi ukilinganisha na mwanaume.Pia tusisahau ktk mazingira yetu,ni jambo la kawaida mwanaume kuwa wa kwanza kumwandaa mwanamke.Hii ina maana gani?Kipindi chote ambacho unamwandaa bibie,ni wazi wewe binafsi stim zitakuwa zimepanda kupifikia point of no return,kwa hiyo haitakuchukua muda mrefu kabla hujatupia kitu kimyani! Hii ni normal kabisa kwa mwanaume,otherwise utuambie wewen hunaga tabia ya kumwandaa mwenzio.
Jambo lingine ni kuwa,kadiri umri unavyokwenda ndivyo na performance inavyokwenda ikishuka.Hatuwezi kulinganisha performance at 25yrs na 45yrs.Na hapa ndipo tunapokosea sana.Tumekuwa tunadhani tutaendelea kuwa sharp miaka yote,which is not true.Na ndio maana unapopost hapa tatizo kama hili,wewe una miaka 40,unategemea kijana wa miaka 25 atakuelewa! Kwake yeye tatizo hilo hana,sana sana ndipo comments za ajabu ajabu zinapotokea.
Tunapoanza mahusiano,kila mmoja anamwona mwenzie ni mtamu kuliko kitu chochote.Ni kawaida kukesha mnatupia vitu,this is normal hasa ktk umri mdogo(kijana).Jinsi mnavyokaa pamoja mnazidi kuzoeana hadi kufikia hali ambayo kila mmoja wenu anamwona mwenzie ni wa kawaida sana;hana jipya.Hakuna ule utamu wa mwanzao tena.Ikitokea hivyo tunakuwa tunafanya kimazoea zaidi na sio kimapenzi.Kwa hiyo hata zile raundi nyingi tunaanza kupunguza inafikia unapiga kimoja tu unalala.Kwa hiyo na mwili/hisia zina adapt raundi chache,sasa siku ukitaka kupiga marathon zile za kipndi kile,unashindwa.Sasa hapo ndio utaona watu wanakuja humu wakilalamika wamepungukiwa nguvu za kiume! Kimbe ir's just physiologocal adaptation.
Kuna kitu kinaitwa premature ejaculation;hiki kinaconfuse sana watu.Kwa mfanzo umenchezea sana bibie umefikia a point of no return,kiasi tu cha kuingiza tu ndani inahitajika friction ndogo tu kabla mzigo haujashuka-it may take even 10 seconds unashusha mzigo,hapo huwezi kusema hiyo ni premature ejaculation coz ni muda mrefu stim zimekuwa build up.Hapa kuna watu watasema mtu anaweza kukontrol,which may be true,lkn hii ni experience inayohitaji practice ya muda mrefu;na bahati mbaya sana si wengi wanaojua namna ya kufanya zoezi hilo.
Mimi nadhani kuna wakati theories tunazosoma kwenye mtandao na vijarida mbali mbali mtaani haziendani na hali halisi ya maumbile yetu.Kumbuka watu hatufanani,unaloweza kufanya wewe sio lazima mimi niweze kulifanya,kwa kiwango chako.Lakini pia pamoja na hayo,ukweli unabaki palepale kwamba,ktk mambo ya siri namna hii na yanayohitaji kufanika kuwa kushirikiana watu wawili kama hili,kuna theories nyingi ambazo hata siku moja haiwezi kuleta matokeo sawa kwa kila mtu.What worked for you may not alway work for me! Tusidanganyane jamani.
Lakini pia ni ukweli usiopingika kwamba matatizo mengi yanayoletwa hapa hasa haya yanayohusiana na sex,are not really problems! Kwenye sex almost everything is psychological oriented;and psychologically tunatofautiana sana.What matters ni kufanya na kumaintain what works for you.Unaweza ukasema masterbation ndio sababu kumbe hata mtu mwenyewe hana tatizo lolote,au pengine kuna mwingine amefanya sana hiyo kitu(masterbation) lkn bado anaperform exellent kitandandi!
Halafu tusisahau kitendo cha sex ni two ways traffic.Kila mmoja ni trigger ya mwenzie;kwa maana kwamba mwenzio ni factor muhimu kukufanya uperform vizuri au vibaya kitandani.Pamoja na hayo,pia kuna factors zingine kama mood,mazingira mnayofanyia kitendo hicho nk.nk.nk...so sio masterbation tu jamani!