Kumbe abiria tukiamua tunaweza

Kumbe abiria tukiamua tunaweza

Emhegele

Senior Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
122
Reaction score
6
KUMBE ABIRIA TUKIAMUA TUNAWEZA! Nimefurahishwa leo mitaa ya Moshi KCMC ni baada ya konda m1 wa daladala kushndwa kupokea Tshs. 200 kutoka kwa Abiria mmoja mwanafunzi kisa ni J2 anadai alipe 400/= ni baada ya kusimamishwa gari muda mrefu bila kufika mwafaka, ABIRIA WOTE TUKAAMUA KUSHUKA NA GARI KUBAKI TUPU KABISA!

Share km umependa
leave it km imekuboa!
 
...Pongezini. Wahusika wameshindwa ni bora tujitahidi wenyewe kidogo kidogo hivyo hivyo! Kila kitu kina Mwisho.:nod:
 
Back
Top Bottom