Kumbe Albert Einstein alioa binamu yake!

Hivi nywele zake alipigwa shoti ya umeme?
Ukifatilia theory zake utajua kwanini hata nywele zake zilikuwa hazitulii!.. we mtu alitabiri vitu ambavyo vimekuja kugundulika miaka hii ya 2000+

Hajawahi tuma vitu kwenye space ila mwamba alivigundua kwa kupitia kuwaza na calculation! Acha nywele zisimame tu hakuna namna..😂
 
Inategemea na utamaduni, tena ni kawaida sana barani Afrika. Hata ndani ya ukanda huu wa Afrika Mashariki. Waborana(Ke), Warendille(Ke), Wagabra(Ke) Waoromo(Ke & Et), Wasomali(Ke, Et & So), Wa-Afar, Watigray na Wa-Amhara wa Et, wote hao huwa wanaoa watoto wa wajomba na shangazi zao.
Sijui kuhusu Wairaqw wa Tz, ila kwa ufupi ni kwamba ni jambo la kawaida na ambalo linakubalika. Kwa makabila karibia yote ambayo kiasili huwa yanajulikana kama 'cushites'.
 
Mzee wa E=mc2
 
Umenena kitu kikubwa sanaaa
 

Attachments

Alishinikizwa, alafu unajua nini, hayanaga muongozo...
 
Ongeza Wahangaza.
 
Wazungu wanaoana tu. Angalia kwa mfano familia ya kifalme ya Uingereza, wameona binamu kwa binamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…