Kumbe anamuogopa Mbowe balaa!

Kumbe anamuogopa Mbowe balaa!

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
997
Reaction score
1,220
Nilivyosikia tu, 'wanataka kunidhuru halafu wamsingizie Mhe. Mbowe....'; nikajua kazi hakuna......amekwisha. Aisee kumbe huyu Mbowe ni bonge la Mafia aisee, ukiacha zitto, wengine wote wanamgwaya!! Shikamoo mbowe
 
Acha ramli fitinishi. Kuna mambo mengi ya kujadili.

Andika kuhusu mama kuwaapisha mawaziri jikoni kwake Kizimkazi. Wewe unaona ni sawa hiyo??
 
Anzisha hiyo mada, yangu ni hii ya Mbowe kuogopewa na Lissu Huku lissu akijificha kwenye mkaranga.
 
Nilivyosikia tu, 'wanataka kunidhuru halafu wamsingizie Mhe. Mbowe....'; nikajua kazi hakuna......amekwisha. Aisee kumbe huyu Mbowe ni bonge la Mafia aisee, ukiacha zitto, wengine wote wanamgwaya!! Shikamoo mbowe
Hata mimi ndo nilivyomuelewa leo,anamuogopa sana Mbowe
 
Nilivyosikia tu, 'wanataka kunidhuru halafu wamsingizie Mhe. Mbowe....'; nikajua kazi hakuna......amekwisha. Aisee kumbe huyu Mbowe ni bonge la Mafia aisee, ukiacha zitto, wengine wote wanamgwaya!! Shikamoo mbowe
Mmh
 
Back
Top Bottom