Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Anzisha hiyo mada, yangu ni hii ya Mbowe kuogopewa na Lissu Huku lissu akijificha kwenye mkaranga.Acha ramli fitinishi. Kuna mambo mengi ya kujadili.
Andika kuhusu mama kuwaapisha mawaziri jikoni kwake Kizimkazi. Wewe unaona ni sawa hiyo??
Hata mimi ndo nilivyomuelewa leo,anamuogopa sana MboweNilivyosikia tu, 'wanataka kunidhuru halafu wamsingizie Mhe. Mbowe....'; nikajua kazi hakuna......amekwisha. Aisee kumbe huyu Mbowe ni bonge la Mafia aisee, ukiacha zitto, wengine wote wanamgwaya!! Shikamoo mbowe
MmhNilivyosikia tu, 'wanataka kunidhuru halafu wamsingizie Mhe. Mbowe....'; nikajua kazi hakuna......amekwisha. Aisee kumbe huyu Mbowe ni bonge la Mafia aisee, ukiacha zitto, wengine wote wanamgwaya!! Shikamoo mbowe