Kumbe asilimia kubwa ya watu duniani tabia zao ni sawa

lamekiAgustino

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
481
Reaction score
1,318
Wakenya wameanzisha tabia yakusema Diamond nimsanii wetu basi Warwanda, Uganda, Burundi na nchi kibao wanashindana kusema Diamond nimsanii wetu replay zaidi ya elfu 12 ni Diamond is our artist from Kenya🤣mwingine uganda nikaona mwingine wabrazil nikasema duu kweli ubaya ubwela.

sema Wakenya kwenye hii bato wanashinda nama wanapeana like kibao. watanzania niwamwisho kabisa kwenye hii batoutazani mondi sio wao wakenya wanatamba nae tuu.
 
Achana na hayo, nitafutie "mwekezaji" huko aliye tayari kuuchukua mlima Kilimanjaro. Atakuwa na uhalali wa kupost TikTok kuwa mlima Kilimanjaro ni wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…