#COVID19 Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

Wapi nimesema WHO ni malaika ?

Vitu vyote unavyotumia vimeletwa dunia hii na malaika ?

Madawa yote huko hospitali unayotumia yameletwa na malaika ?
kwani hospitali, madawa, WHO, na mengineo yaliletwa duniani na waliopewa akili hizo na nani?

Aliekupa na aliewapa akili hizo anataka zitumike kwa usahihi na ipaswavyo, kwa hayo ajitwalie utukufu.
 
Ni kweli mkuu. Ishara ziko wazi kabisa lakini watu wakishafumba macho hawataki kuambiwa kingine. Inasikitisha sana. Kundi kubwa sana la watu wanadhani mzungu hawezi kuwa mwongo; WHO (ambayo mfadhili ni akina bill gate) hawawezi kuwa waongo - hivyo wako tayari kuamini chochote. So so sad 🙁🙁
 
Wewe umeona Tanzania tu? Duniani kote watu wanaendelea kugomea chanjo
Duniani kote watu wanapanga foleni kupokea chanjo kwa sababu wanaona faida na mafanikio yake. Pia wako watu wanaokataa ambao ni idadi ndogo (si ndogo sana) wakiwa na sauti kubwa.
 
Wewe umeona Tanzania tu? Duniani kote watu wanaendelea kugomea chanjo
kwa taarifa yako ukiona nchi zilizoendelea watu wanaandamana hasa marekani ujue wamelipwa.....do diligent research, utakutana na majina kama akina George soros na wenzake the deep state. Usiamini kila unachokiona kwenye tv au mitandaoni.
 
Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Wewe chanjo zako ni zipi mlizogundua na Gwajima wenu!?

Watanzania hamjambo kwa kujifanya wajuaji wa kila kitu.
 
mfumo wa upatikanaji chanjo anaufahamu? Huwezi ukalinganisha namna chanjo ya polio ilivyopatikana mwaka 1958 technolojia ikiwa chini ukalinganisha na leo teknolojia ikiwa juu. Ndiyo sababu nimesema wasomi wa tanzania mmemkabidhi gwajima usomi wenu na amukalia mmebaki kuusikilizatu.
SARS diseases ni corona, zilipoibuka research zimekuwa zikifanyika na si jana wala juzi ni kwa miaka mingi. sars 2-covid 19 ilipoibuka tafiti zilikuwa zinaendelea.

Ni aibu sana kwa msomi kama wewe chanzo chako ni gwajima ambaye ameishia form four tu na akafeli.
jifunze kufanya research wewe mwenyewe badala ya kusubiri mahubiri ya mtu anayetegemea taarifa za conspirancy theorists na clip za tiktok.

Nilidhani utasema zanzibar wanatumia chanjo waliyotengeneza wao wenyewe......
Kuhusu kupata ugonjwa au la ukiwa na chanjo, hapo ndipo wengi tunawaambia mmekuwa mambumbumbu. Kupata chanjo si kwamba huwezi ukapata ugonjwa isipokuwa ugonjwa hauwi severe kiasi cha kukuua.

hata watoto huchanjwa surua lakini akipata bakteria wa surua haugui kiasi cha kulazwa zinatokea rashes tu kama upele mwepesi na anapona tu kwa kuoga kwa medicated soap so is tetekuwanga.

Yaani ninyi na gwajima wenu ndiyo mnajifanya mna akili kuliko west europe ambao wamechanja raia wao zaidi ya 200mil hata wameruhusu mashabiki wa mpira kuingia katika viwanja vya michezo? China imechanja zaidi ya rai 600mil, India is heading 600mil, marekani zaidi ya 170mil, russia etc?

Gwajima huenda marekani na japani kila wakati, na kwa sasa nchi hizo kama hujachanjwa huingii isije ukawaambukiza raia wao. je hatakwenda kwa sababu ya kukataa kuchanjwa? endeleeni kumsikiliza anavyowadanganya

jaribuni kujitoa upumbavu...kumbuka zisingekuwa chanjo hata wewe ungeshakufa kitambo sana. fungua link hii


yaani chanjo zimetengenezwa kuwaua ninyi na gwajima wenu tu?
 
Chanjo zote za COVID zimeidhinishwa na WHO kwaajili ya matumizi ya dharula kwasababu maisha ya watu yanapotea na shughuli za kiuchumi nyingi zilisimama.

Na bahati nzuri zimepunguza vifo kwa kiasi kikubwa sana.
Wewe mpumbavu,kwani hiyo lugha imekupiga changa ,pili umenakili kutoka kwenye website ambayo inapinga chanjo,tatu HUYO ASKOFU/MBUNGE NI TAPELI NA MWONGO.KESHAXHANJA TANGIA MWAKA JANA.ANACHEZEA AKILI ZETU.KANISA LAKE LINATEGEMEA MISAADA KUTOKA HUKO HUKO MAREKANI.WAKAGUE NI LINI ALIENDA HUKO?LAZIMA KWA TAARIFA ZA UHAKIKA AENDE MAREKANI KILA MWAKA KUTOA MCHANGANUO WA PESA ANAZOPEWA SASA TANZANIA TUMEWEKWA KATIKA RED COUNTRIES,SWALI KAMA HAKUCHANJA ALIINGIAJE?HUYU ASITUFANYE WATANZANIA WAJINGA.MLITUDANGANYA SANA WAKATI WA AWAMU YA 5.AWAMU HII TUMEAMKA.
 
Maradhi yanayotokea season ya baridi kali yapo kitambo na yanafahamika acheni kuwa vikasuku. Watu wameichukua hii ikawa corona, pumu imeanza leo? Nimonia imeanza leo? Kutiririka makamasi kipindi cha baridi kumeanza leo? Hii winter ya mwaka huu ina uwezo wa kuclaim maisha ya yyte regardless ila leo ukifa ni corona ..fool
 
Tunaweza kweli kuwaamini TMDA kwa mambo serious wakati wanaotoa ushahidi kwa kuangalia vitu kwa macho? Hiki ndicho wanachosema.View attachment 1916131

Wewe tuaminishe basi jinsi electromagnetic inavyoweza kuwa embedded kwenye clear fluid. Ambayo bado inaenda kukaguliwa na mwenzio wa nchi unayoipelekea chanjo.

Hivi hata huyo anaekutengenezea chanjo atakuwa mburula, yaani wao hawajui kuwa hivi vitu vinakuwa sorted na kupimwa randomly.

Kwa nini wasitumie chanjo ulizokwishakubali siku nyingi na ulichoma za chini ya miaka mitano ila watumie kile ambacho kiko under scrutiny??

Dawa zote unazotumia hapa Tanzania ni hao TMDA wasimamizi leo kila mtu amekuwa mwelevu kuliko TMDA. Wapeni mawazo mema mliyonayo, lakini wanatimiza wajibu wao.

Kuna mambo mengi tunachukua toka kwao: Gari, simu, nguo, saa etc kwa nini hivyo hamvisusiii??

Wenzetu wangekuwa na roho nyeusi kama zetu wala tusingepiga round pamoja ni issue zao zote.
 
umeshindwa swali la consent form tu🤣🤣🤣🤣🤣 hayo mengine ndo ingekuwa upupu.
Wafuasi wa kibwetere bwana 🤣 🤣 🤣, Jambo la kwanza unapaswa kuelewa history ya vaccination-Example Polio,Miaka ya Mwanzoni watu walikuwa wanajaza consent forms za chanjo ya Polio kabla hawajachoma sehemu mbalimbali duniani.Consent forms zilikuwa zinampa mtu haki ya ku-accept or reject chanjo husika baada ya ku-weigh benefits over risks.Baada ya Polio na magonjwa mbalimbali,Chanjo mbalimbali ziligeuka kuwa mandatory duniani mfano chanjo ya polio-hivyo watu wakanyimwa chance ya ku-reject and therefore mandate ya kujazishwa consent forms ikawa obsolete automatically.Swali unalopaswa kujiuliza,Watu hawajazi consent forms za Polio nw days kama zamani,Je chanjo ya polio sasa ina zero side effects? kwa nini unafikiri watu wanajaza consent forms? Chanjo ya covid ikijakuwa mandatory utajazishwa consent form ili iweje wakati zoezi linakuwa lazima?
*Penda kushughulisha akili na siyo kuuliza maswali ya kijinga 🤣🤣
 
Gongeni chanjo acheni ujinga , hizi hadithi za mwendazake hazina maaana ndiomaana hata yeye mwenyewe zilimcost uhai kwaaajili ya ubishi. GONGA CHANJO ACHA PROPAGANDA
 
Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
WHO si shirika la mchezo mchezo. Kama kila kitu utakitilia wasi wasi sijui utamwamini nani? Sasa wewe unaweza kumwamini kiongozi ambaye hana taaluma ya utabibu,ila imani yake tu- ndio ikuongoze katika mapambano na UVIKO-19 . Hizo ni enzi za Ujima.
 
Umekesha unatafuta majibu Google ndo unakuja na upupu huu🤣🤣🤣🤣
Jibu: ni rahisi tu kwamba chanjo inayochanjwa ikiwa kwenye clinical trial lazima ujaze consent form,ili lolote likitokea usiwashitaki jamaa.

Yaani wewe nawe sijui ndo wale mnajiita wataalamu!!!! Masikini nchi yangu.Mungu iponye na watu hawa.
 
Sumu inapo idhinishwa ili kuua watu!
 
WHO si shirika la mchezo mchezo. Kama kila kitu utakitilia wasi wasi sijui utamwamini nani? Sasa wewe unaweza kumwamini kiongozi ambaye hana taaluma ya utabibu,ila imani yake tu- ndio ikuongoze katika mapambano na UVIKO-19 . Hizo ni enzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…