charleslee
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 408
- 200
Watafiti buana eti Kati ya watanzania wanne mmoja ni muhusika wa milembe, kumbe hawakukoseaNashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.
Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii ya baba JESCA? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
Watafiti uchwaraWatafiti buana eti Kati ya watanzania wanne mmoja ni muhusika wa milembe, kumbe hawakukosea
Kama umeshawahi kuona fungu jipya la pesa ambalo bado hata halijapunguzwa noti moja. Huwa lina idadi gani ya noti?Mkuu kutokana na avatar yako naamini unaweza kunisaidia hili swali;<br /> Hivi katika ya lile fungu jipya la pesa, huwa lina jumla ya note ngapi?
Cjakusoma....katika ya lile???
Bank gani hiyo inatoa milioni 1 kwa mkupuoNashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.
Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii ya baba JESCA? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
IPO haja mkuuJamani na mimi niulize ivi kuna haja ya kuhakiki fedha ktk ATM kabla ya kutia kwa mfuko.
Warning nzuri boss lkn hawanidakiutotoni tulihadithiwa padri aliyedondosha begi la pesa akiwa kwenye Baja 750, ajuza akaokota na kupiga kelele kumuita. padre kasimama na ajuza akamwambia umedondosha mzigo wake-akampatia. alichokifanya alimwambia piga magoti nikuombee. baada ya sala akamwambia hautakuja ukutane na bahati nyingine maisha yako yote. akamfungulia kutazama begi, bibi kaona limejaa noti tupu! ## tulisimuliwa na mababu kutuasa kuropoka ropoka kuwa kuna madhara. wenye bahati zao huwa hawatangazi hadharani. umesharahisisha upelelezi. kumbuka cctv zilikuwa on!
Bank gani hiyo inatoa milioni 1 kwa mkupuo
Ndo manakeHivi nextweek bado ni January tu?[emoji86]
Duh!basi huenda namie ATM itakosea na kwangu kabla Feb haijaingia[emoji41]Ndo manake
[emoji2] [emoji3] [emoji125] [emoji12]Duh!basi huenda namie ATM itakosea na kwangu kabla Feb haijaingia[emoji41]
Noti miaMkuu kutokana na avatar yako naamini unaweza kunisaidia hili swali;
Hivi katika ya lile fungu jipya kabisa la pesa ambalo bado halijafunguliwa, huwa lina jumla ya noti ngapi?