Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchawi lughaOneni hili andiko la mtoto wa bossView attachment 2650990
Bwege tuuh udhamini anaosemea yeye ni wa AZAM media ambao bila yanga na simba wao hawapata Mapato yytOneni hili andiko la mtoto wa bossView attachment 2650990
Mjukuu wa MariamNa ww ni mjukuu wa nani
Naamini hii involvement ya Hangaya kwenye Simba na Yanga na mwaliko wa juzi kwa Yanga kule jumba jeupe ni mkakati wa wa kuwa engage Watanganyika kwenye mijadala myepesi huku wanapitisha agenda zao kutuelekeza qibla.Hivi huwa mnatoa wapi mawazo ya kujadili mambo kama mpira huku Nchi ikiuzwa,hivi nyie wagalatia nani amewaroga?
AZAM TV INATOA MA BILIONS KWA SIMBA NA YANGA.!!!!
KWANI ULIKUWA HUJUI????????
Oneni hili andiko la mtoto wa bossView attachment 2650990
Ndiyo takataka gani hiyo! Kwani walilazimishwa kuzifadhili? Aache bange zake hapa. Kabla ya hao Azam na hata kabla ya kuzaliwa a huyo baba/babu yake, mbona hizo timu za Yanga na simba zilikuwepo!Oneni hili andiko la mtoto wa bossView attachment 2650990