Kumbe Azam inafadhili team zote kubwa, Simba na Yanga

Hivi huwa mnatoa wapi mawazo ya kujadili mambo kama mpira huku Nchi ikiuzwa,hivi nyie wagalatia nani amewaroga?
Naamini hii involvement ya Hangaya kwenye Simba na Yanga na mwaliko wa juzi kwa Yanga kule jumba jeupe ni mkakati wa wa kuwa engage Watanganyika kwenye mijadala myepesi huku wanapitisha agenda zao kutuelekeza qibla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…