Kumbe Azam inafadhili team zote kubwa, Simba na Yanga

Bado hajawa na akili sawa sawa

Sasa huyu ndio wa kuja kurithi biashara za familia.

Ataweza kweli fanya kazi na Hizo timu zingine kama Kuna ulazima.

Ngoja tuone akili kama itakomaa
 
Bado hajawa na akili sawa sawa

Sasa huyu ndio wa kuja kurithi biashara za familia.

Ataweza kweli fanya kazi na Hizo timu zingine kama Kuna ulazima.

Ngoja tuone akili kama itakomaa
Atarithi vipi wakati bado Baba yake,na ndugu za Baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…