Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Nawapa pole,maana naamini wengi wanaofanya hvo,watakua bado wako vyuoni na hawana real experience ya kitaa..mimi pamoja na bcom yangu ya so called state university{udsm}lakini nimeambulia kuwa bank teller,tena kwa kupigiwa pande,maana bila hvo nisingeupata na wkt huo huo nadhani robo tatu ya darasa langu niliomaliza nao shule hawajah kuitwa hata kwenye interview.so ushauri wangu kwenu wadogo zangu ni kwangu,weather uko udsm,teku,muccobs,saut,udom,mzumbe,cbe etc.jitume katika masomo yako angalau umalize na GPA nzuri,kitaa ndio referee wa mwisho,hakuna cha umesoma wapi,watu wanaangalia una nin kichwani au unamjua nani!kwa hyo akili kumkichwa,ni hayo tu,naomba msinirushie madongo.