Kumbe bado tu kuna watu wanaendeleza ubishani wa vyuo?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Nawapa pole,maana naamini wengi wanaofanya hvo,watakua bado wako vyuoni na hawana real experience ya kitaa..mimi pamoja na bcom yangu ya so called state university{udsm}lakini nimeambulia kuwa bank teller,tena kwa kupigiwa pande,maana bila hvo nisingeupata na wkt huo huo nadhani robo tatu ya darasa langu niliomaliza nao shule hawajah kuitwa hata kwenye interview.so ushauri wangu kwenu wadogo zangu ni kwangu,weather uko udsm,teku,muccobs,saut,udom,mzumbe,cbe etc.jitume katika masomo yako angalau umalize na GPA nzuri,kitaa ndio referee wa mwisho,hakuna cha umesoma wapi,watu wanaangalia una nin kichwani au unamjua nani!kwa hyo akili kumkichwa,ni hayo tu,naomba msinirushie madongo.
 

Oh, Seneta001, a counting machine?
 
Last edited by a moderator:

Vyuo vyenu vya bei rahisi ndio inategemea sijui kitaa sijui nini piga mzigo nenda columbus university tu..
Msiende malaysia au uk ukitoka hapo masters piga zako harvard bcom yako ukimaliza tu u a post jp morgan and chase au ndani ya wall street

Hivi vyuo vyenu vyenye stress ya mkopo matatizo matupu
 

kwa hiyo wewe mwenzetu umepigia MIT sio?
 
kwa hiyo wewe mwenzetu umepigia MIT sio?

Hiyo MIT unayoizungumzia wewe ni hii ninayoijua mimi kwa wale vilaza wa pale na masharobaro ambapo weekend wanaenda longfellow bridge na mademu zao wakipigana kiss huku wakiangalia view ya mto charles?

Au mit ipi unaizungumzia?
Mimi ni mtoto wa csu bwana nilikuwa nakaa nancy st
Natembea tu toka home mpaka chuo sijui adha ya mkopo , sijui adha ya usafiri
Niliondoka hapo 1998 una kingine?
 

kwa hiyo bwana tajiri,sasa hivi unamiliki kampuni ngapi hapa ulimwenguni?
 
kwa hiyo bwana tajiri,sasa hivi unamiliki kampuni ngapi hapa ulimwenguni?

Siri yangu ila nina maisha mazuri sana tu
Kwani csu baada ya kutoka nilienda lehman brothers mpaka 2008 ilipofilisika msharaha wake nili invest nyumbani na sasa hivi nakula matunda yake
Lingine?
 
Ushauri mzuri sana, mimi nilikutana na mtu mmoja field hana kazi tangu 2010, nikauliza why akasema ndio kazi za shida, but later nikakaa na Profesa wangu anayemjua akasema, NO, yule hakufaulu vizuri. Cha msingi ni GPA, hata kama una Phd ukiomba kazi wataangalia GPA ya undergraduate kwanza, kama haina vigezo vyao ure dooooooomed.

Vipi kuhusu ku volunteer ukiwa unatafuta kazi? nadhani nayo ya muhimu. au mnasemaje wadau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…