Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Piga la pili*Kumbe bangi haina madhara...nimetoka kuvuta pafu moja nipo fresh kabisa bila tatizo..saivi nimekaa juu ya tv naangalia makochi* [emoji4][emoji4]
Okay sasa Ungeshuka kwenye TV ukalie Mtaimbo*Kumbe bangi haina madhara...nimetoka kuvuta pafu moja nipo fresh kabisa bila tatizo..saivi nimekaa juu ya tv naangalia makochi* [emoji4][emoji4]
Mkuu umenifanya nicheke mnoOkay sasa Ungeshuka kwenye TV ukalie Mtaimbo
hahahahahahaha*Kumbe bangi haina madhara...nimetoka kuvuta pafu moja nipo fresh kabisa bila tatizo..saivi nimekaa juu ya tv naangalia makochi* [emoji4][emoji4]
Wenzako tumeacha wewe ndio unaanza,kuvuta*Kumbe bangi haina madhara...nimetoka kuvuta pafu moja nipo fresh kabisa bila tatizo..saivi nimekaa juu ya tv naangalia makochi* [emoji4][emoji4]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkuu umenifanya nicheke mno