Kumbe bangi haina madhara!!

Kumbe bangi haina madhara!!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Leo nimepiga pafu zangu 5 za bangi lkn sijaona madhara yoyote😀 wanaosema bangi inamadhara wapuuze tu
Sahivi nimekaazangu juu ya TV naangalia makochi badae tena nataka nipige pafu tano nyengine!
 
endelea siku ukienda kuoga mafuta ya kupikia ukidhani maji mdipo utajua hahaahah
 
Endelea tu mkuu nyingine pika kama mboga
😱 kwajinsi navyopenda kachumbali leo nitaiweka na ndimu nyingii bila kusahau pilipili i think nitakuwa bonge la mkemia mkuu
 
Bangi ni nzuri sana mkuu. Na ukitoka hapo ingia chumbani ukoke moto juu ya kitanda uanze mapishi.
 
Mimi nakushauri ukaushe japo kwa dakika 5 ili uiongezee nguvu.

Hapo ulipokaa juu ya TV ni hatati sana, bora juu ya paa ungeiona Korea Kusini ilivyo nzuri
 
Leo nimepiga pafu zangu 5 za bangi lkn sijaona madhara yoyote😀 wanaosema bangi inamadhara wapuuze tu
Sahivi nimekaazangu juu ya TV naangalia makochi badae tena nataka nipige pafu tano nyengine!
Bangi kama mchicha tu mkuu
 
Ni nzuri kama imeendana na damu yako kwani huoni hata wagonjwa walioingiziwa damu za wavuta bangi wanavyochangamka na wengine kulewa?
 
Ni nzuri kama imeendana na damu yako kwani huoni hata wagonjwa walioingiziwa damu za wavuta bangi wanavyochangamka na wengine kulewa?
kwani damu inauhusiano gani na bangi..?
 
Ukimaliza hapo ndugu chukua muhindi uuchome kwa mwanga wa tochi
 
Back
Top Bottom