Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Tatizo si kuwa au kutokuwa na wasomi............ NI WEZI TULIONAOKwa kweli hii iko sawa na ID yako (Makoye Matale) sijui tutatokaje hapa tulipo. Nchi inakuwa kama haina wasomi jamani? Na unashangaa kwa nini hawa jamaa wanaendelea kupewa ardhi yetu kuchimba madini wakati hatunufaiki na chochote? Au wakubwa wana mgawo wao nini?
Kama tungekuwa makini, sekta ya madini ingetuinua kiuchumi haraka sana. Barrick wana migodi ya Bulyang'hulu, North Mara na Buzwagi, hatukuwa na sababu ya kuendelea kuwamilikisha maeneo yote hayo wakati nchi haipati faida. Hivi sasa wanajenga mgodi mwingine huko Mwakitolyo, Shinyanga. Ingekuwa bora tunawapa eneo moja la mgodi nasi wanatujengea mgodi wetu wenyewe. Zitto nawenzako, komaeni kuondoa dhuluma hii.
tulilazimishwa kusaini na USA kwa kubadilishana na vyandaluwa
Si kodi pekee...ulizia uambiwe bili ya umeme ya 100% ya umeme unaotumika pale BULYANHULU wataanza kuilipa lini... .waliazanza na 25% (five years) then 50% next five years and then 75% next five years and 87.5% another five years. Yaani...by the end of life span ya mgodi ndo watatakiwa kulipa 100%
Mining and colonial practices in Tanzania - The return of Victorian era exploitation?
Greg Walker,we will begin told the journalists that Barrick [is] not paying corporation taxes, we will only start paying corporation taxes in 2014 when realising profits.
Mamaweeeeee....Until when they realise the profit na ikifika 2014 watasema wamepata hasara mgodi uliokwisha dhahabu watauuza kwa bei ndogo kwa mhuni mwingine....ama kweli viongozi wetu vichwa vya wendawazimu....MWINYI alisema