Mtani kazi anayoNdio mkuu yanga imefikia hapo, ni mwendo wa kisengerenyuma.
We mbumbu hiyo siyo yutong ni higer hiyoWakuu najuwa tu, huenda baadhi yetu mkaona uzi huu hapa nimeuvuta kiushabiki, la hasha! ila ni kwa kuzingatia usalama wa wachezaji na viongozi wa yanga, kutokana na jinsi Gari za kichina zinavokosolewa kwa usalama wake mdoga, haswa Mabasi haya ya YUTONG yanatabia ya ubovu wa kuwaka moto. Tahadhari ni njema kabla ya hatari. View attachment 1857289
View attachment 1857290
Basi limeandikwa higer wewe unaandika yutongWakuu najuwa tu, huenda baadhi yetu mkaona uzi huu hapa nimeuvuta kiushabiki, la hasha! ila ni kwa kuzingatia usalama wa wachezaji na viongozi wa yanga, kutokana na jinsi Gari za kichina zinavokosolewa kwa usalama wake mdoga, haswa Mabasi haya ya YUTONG yanatabia ya ubovu wa kuwaka moto. Tahadhari ni njema kabla ya hatari. View attachment 1857289
View attachment 1857290
Zote ni kabila moja! πππMweshimiwa hivi HIGER na YUTONG ni kitu kimoja?
Soma vizuri comment yangu...Mabasi yote ni halisi, tafauti ubora na mabasi ya kichina hayapo kwenye viwango va ubora wa kimataifa.