Kumbe bongo nazo zipo!

A behemoth of grotesque monstrosity.
 
Nazani umeishiwa post,mbona hayo ni kawaida tuu,je ukiiona yakwangu utasemaje?sina haja ya kuionyesha hapa kwani wengi mnaifahamu kwani sipendi kuwa apparent sana.
 
Nazani umeishiwa post,mbona hayo ni kawaida tuu,je ukiiona yakwangu utasemaje?sina haja ya kuionyesha hapa kwani wengi mnaifahamu kwani sipendi kuwa apparent sana.
sawa dogo, nshakusoma...'pengo' twende kazi!
 
Communication Barrier xpertriate, as usual..

By your not understanding a perfectly normal English language statement, the only thing that is a communication barrier here is your limited understanding of the said English language.

I am not talking too fast, you are listening too slow.

You make me sound like I'm writing in Latin or some other extinct, exotic and exilable language.
 
Bongo mbona tambarare siku hizi, kila kitu kilichopo huko ughaibuni hapa bongo kipo.
 
karibu Dom usafishe macho uone kama hayo madude yapo, huku ni punda tu
 
aliyeita Bongo new yuko hajakosea kila jitu kinapatikana
 
Nazani umeishiwa post,mbona hayo ni kawaida tuu,je ukiiona yakwangu utasemaje?sina haja ya kuionyesha hapa kwani wengi mnaifahamu kwani sipendi kuwa apparent sana.

transparency kumbe na kwako ni msamiati eeeehhh!!!!!
 
wengine hiyo lugha ni ya nne, unaweza kupata picha ni kwa kiwango gani unatusumbua ....si wote wataalam wa lugha humu Bluray tusamehe kwa hilo
 
wengine hiyo lugha ni ya nne, unaweza kupata picha ni kwa kiwango gani unatusumbua ....si wote wataalam wa lugha humu Bluray tusamehe kwa hilo

Kwa hiyo unataka kila mtu aongee Kinyalugusu? Hii ndiyo challenge yenyewe ya kujifunza lugha mpya, sio kila mara tunakaa katika cocoon ya comfort ya lugha zetu, ni vizuri kujifunza lugha mpya pia.

Labda kama huelewi na hutaki kujisumbua kuelewa siye uliyetakiwa kuelewa.
 
Bluray suala la kujifunza lugha ni mchakato, na unachukua muda pia. kutoelewa ulichoandika haikumaanisha mtu hakutaka kujisumbua...ndio maana nikasema wengine ni lugha yetu ya nne after mother tongue, father tongue, kiswahili kisha hicho kiingereza. hapo sasa utaona kiwango cha kuelewa, kuna maneno ya kiingereza yakitumika unahisi sijui ni lugha gani.

Tunajifunza tena kwa bidii, fahamu hivyo mkubwa.
 
Mbwe mbwe mpaka unakosea simple lg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…